Recent content by Kingsman

  1. Kingsman

    Mama Simba Mbugani alisikika akishauriwa na Kobe mwenye Busara kua Ukicheka nao Watakuhujumu

    Mama Simba Mbugani.....Kobe alisisitiza Bado mbugani wapo wanyama Wazalendo ambao wapo tayari kulinda maslahi mapana ya Mbuga lakini wameamua kukaa kimya kwa kukosa Ushirikiano.......kobe alikazia
  2. Kingsman

    Mama Simba Mbugani alisikika akishauriwa na Kobe mwenye Busara kua Ukicheka nao Watakuhujumu

    Mama Simba Mbugani alisikika akishauriwa na Kobe mwenye Busara kua Ukicheka nao Watakuhujumu ( Vinyonga) na washaanza Kuonesha makucha kama walivyomuhujumu Mkuu wa Nyika Simba Dume aliyetangulia.. Vinyonga hao wanatabia ya Kubadilika badilika Rangi kuendana na Mazingira yaliyopo kwa wakati...
  3. Kingsman

    Ulinzi wa watu mashuhuri

    Ilo swali siwezi jibu mkuu
  4. Kingsman

    Ulinzi wa watu mashuhuri

    hahaha kono gogo fua jumba...hao ni wauza surazee na ndo wa kwanza kukimbia kunatukio moja walikodiwa na tajiri mmoja ivi ili wakasimamie eneo ambalo ni la wananchi sema tajiri iubabe kalichukua wazee wamefika pale wamevimba kama vifaru vifua kama tofali bas kumbe wanakijiji walijipanga na...
  5. Kingsman

    Ulinzi wa watu mashuhuri

    Hapana mzee icho ni kitengo na kina mafunzo ingawa karate inaweza kua moja ya msaada kwa nchi za wenzetu taasisi binfasi ambazo zina academy za kufindisha private bodyguards na pia kuna mashindano ya V.I.P protections ingawa na zenyewe zina udhaifu kama ukikumbuka kisa cha kupigwa risasi ndugu...
  6. Kingsman

    Ulinzi wa watu mashuhuri

    Yap cha msingi ni kutrain hard in order to adopt to your enviroment including your body physicality
  7. Kingsman

    Ulinzi wa watu mashuhuri

    hahahahaha sio katika kizazi iki mkuu chenye dhambi na laana iyo miujiza ilikua enzi izo watu wanaishi washazoea ata kuona malika ila kwa kizazi ichi hamna kitu mzee
  8. Kingsman

    Ulinzi wa watu mashuhuri

    yanapitaka sehemu yanapopatikana!
  9. Kingsman

    Ulinzi wa watu mashuhuri

    sio vitambi vyote ni accumulation of fat layers and farcias vingine ni muscles na ngozi inakua very lean mfano ushawaona wanyanyua vitu vizito na wenye nguvu( strong and power lifters) wengi wnavitambi ila si vya mafuta ni muscles zile sema tumbo ni kubwa na ukibonyeza akibonyezeki.. pia sawa...
  10. Kingsman

    Ulinzi wa watu mashuhuri

    hahahahahaha mkuu umenifurahisha sana
  11. Kingsman

    Ulinzi wa watu mashuhuri

    Katika uwanja wa masumbwi(boxing) bondia(boxer) katika sanaa yao ni mtu aliyefundishwa kupiga( to hit),,,kushambulia(to attack) kwa ngumi tu na kukwepa( punch dodging) hakuna kutumia mateke wala nini hii ni falsafa ya masumbwi(boxing) ila ukija sasa ivi katika ulimwengu mpya( modern boxing)...
  12. Kingsman

    Ulinzi wa watu mashuhuri

    Kitambi sio kikwazo bali uwe na uwezo wa kubeba mwili wako mwenyewe mfano ukienda kwenye madojo( shule au sehemu wanapofanyia mazoezi ya karate) utakuja kuona walimu wa ngazi za juu(sensei) wengi wana vitambi na ni watu wa zima ila shuguli yao ni hatari hawashikiki ivyo cha msingi ni kuadopt...
  13. Kingsman

    Ulinzi wa watu mashuhuri

    wanatakiwa wawe makini sana maana ho hawana ujuzi mfano.enviromental survey,,,,,,,,risks analysing...target neutraization without affecting sorrounding enviroment!!!!,,,,flexibility and adoptiblity kwa iyo bado kuna haja ya kutafuta watu maalum kwa ajili ya kazi iyo
  14. Kingsman

    Ulinzi wa watu mashuhuri

    Mayweather jr ni proffesional boxer ndani ya ulingo(ring) ambapo kuna sheria za kimapigano(rules of boxing) ambazo zinawalinda wapiganaji ila ukija uku nje sasa ni uwanja mwingine no rules,,,,no gloves,,,,silaha zimeruhusiwa kwa iyo unaweza ona ni vitu viwili tofauti sas wapo watu maalumu...
  15. Kingsman

    Ulinzi wa watu mashuhuri

    Wastan na sio mnyanyua vyuma sana maana utakua mzito na ukishakua mzito itakua shida kidg katika harakati za mapigo kama kuruka,,,kuroll...wepesi
Back
Top Bottom