Recent content by KING's

  1. K

    JamiiForums Tanzania International airport ndani ya Serengeti ni makosa makubwa kiuhifadhi

    kiwanja kitajengwa mjini mgumu kilomita zaidi ya 50 toka kwenye hifadhi ya serengeti huo uharibifu wa uoto wa asili hautakuwepo.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mjue mwandishi nguli wa vitabu nchini Tanzania, Phinehas Geranija

    Huyu mzee geranija yupo anamakazi yake kinondoni karibu sana na mwanamboka lakini pia anapatika geita mjini maeneo ya bomani. Kijana wake mmoja ndo anamili duka kubwa la vitu pale mwanza .book point zamani likitwa King bookshop. Namba ya kijana wake ni 0754367172 ukipigia huyo atakupa habari za...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Je tanzania bara kuna udini

    Ni kwakuwa waislam ni waadilifu kiasi furani hawana ufisadi wa kutisha
  4. K

    JamiiForums Tanzania Je tanzania bara kuna udini

    kwenye mchakato wa katiba mpya tupendekeze kufuta mapumuziko siku zote ziwe za kazi ila kila mtu akaabudu katika siku yake kwa ruhusa toka kazini kwake.
Back
Top Bottom