Recent content by Kings

  1. K

    Kamati Ya PAC: Nani zaidi Kati ya Zitto na Kubenea?

    mwendo mdundo kwa kubenea, Zito ni msaliti, atasaliti na kuwa mwizi
  2. K

    GE2015 Ilani ya CCM 2015-2020 - Uchaguzi Mkuu 2015

    warioba mwenyewe tayari ameshatuvuruga, ila katiba mpya tunawaletea msiwe na hofu na tayari tumeshatoa tamko
  3. K

    CHADEMA yafutika Kigoma

    Chadema haiwezi futika kigoma, hata mimi nipo kigoma mbona tupo wengi hatujakimbia kumfuata huyo msaliti. kimsingi huyu zzk kashafutika kwenye jukwaa la siasa na amejimaliza kabisa. Chadema daima ipo na itaendelea kuwepo na wasaliti wote wa chama lazima waondolewe. Kasulu watu kama kina Mwalimu...
  4. K

    Wabunge wa CHADEMA kumpeleka Ulimboka India kwa matibabu

    Haya majitu yanayoandika ***** kama huu ni magamba, yamefanya unyama halafu yanaleta umbeya kwa chademe. Nawalaani wote mnaoandika mifuke ya design hii
  5. K

    Condom zilizoingizwa nchini Hazifai Kukinga ukimwi

    Wanaokanusha wote ni wahusika wa hili jambo na mimi namkubalia aliyeleta huu mjadala kwani hao jamaa wana roho ya mauaji kabisa ndo maana madakitari wakawagomea.
Back
Top Bottom