Tarehe na miezi watu walio zaliwa.....mfano kwa walio zaliwa mwisho wa mwezi wa kumi na moja mbaka december katikakati kuelekea mwisho ni sagittarius....hapo tabia zao unaeza zifahamu na ukijua unaeza pata jinsi ya kuishi nao.......binafsi imenisaidia sana kwenye mahusiano kwa sababu baada ya...
Nilianza kufuatilia mambo ya zodiacs miaka mitano iliyopita.....kitu kilichonivutia ni jinsi ilivyo nielezea mimi mwenyewe nikawa very obsessive.....nilimfatilia kila mtu wa Karibu niliyemfahamu....na niliweza kugundua mambo mengi sana juu yao.....tabia zao na pia jinsi ya kuishi...
Natafuta madalali wa kufanya nao kazi. Sio ajila, ila kama wewe ni Dalali na unahitaji kupanua wigo wako wa biashara hii inakuhusu.
Itapendeza zaidi ukini PM
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.