8Naumiza sana hiyooo ndo akili ya mpiga kura, hivyo ndo vigezo vya rais anayempenda....... hapo ni meaning ya kejek but In real case... rudin shule ambao hamjamwelewa lowassa anamaanisha nn hapo
Watanzania wenye akili na uelewa haya sio yakuyajadil kabisa, hebu tujiulize maisha yetu ya watanzania, then tuamue kuwaachia dora wezi wa ccm au tuamue kumpa dora mtu mwenye uthubutu na aliyezungukwa na watu makin na wenye uchungu wa kutupa katiba mpya itakayo leta usawa na maisha safi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.