Ndugu, wanatakiwa vijana wawili waliosoma Hotel Management Au House Keeping na wenye vyeti vya fani hizo kutoka chuo chochote hapa nchini
Tuma maombi yako ukiambatanisha CV na Copy ya vyeti vyako kwenda email ifuatayo
joexgroup@yahoo.com
atakaekidhi vigezo wa kwanza ndio atapigiwa simu kwa...
Rejea mada tajwa hapo juu, anahitajika kijana mzoefu na mjuzi wa Graphic Desgner ambae ni mzoefu wa graphic na mtengeneza maudhui ya mitandaoni
kama unahisi una uwezo na sifa basi tuma CV yako kupitia email
joexgroup@yahoo.com
Mwisho wa mombi ni May 31/2025 2359
NB: Kijana awe na makazi ya...
Anatafutwa kijana mmoja wa mauzo na masoko kwa ajira ya mkataba wa muda mfupi.
Vigezo: Awe na uelewa na maswalawala ya forodha (uagizaji na uondoaji wa mizigo bandarini)
Jinsia ya kike au kiume mwenye umri kuanzia miaka 18 hadi 45 anaeweza kujisimamia mwenyewe
Kama umevutiwa au una sifa za...
Gari za kijeruman zinahitaji kuzijali tu katika service maana ni gari nzuri na ngumu, tatizo mafundi sio wengi sana wa kuweza kuzitengeneza zikiwa na shida but gari za Ulaya ni nzuri na ngumu sana
Watu wengi wamekuwa na utaratibu wa kununua gari wanazotamani kuwa nazo, lakini ukweli ni kwamba matumizi ya gari kuna muda ni makubwa kuliko uhalisia wenyewe, mimi kama muagizaji na muuzaji wa magari leo napenda kuwashauri jambo moja kuhusu fomula ya kutumia gari. Nunua gari ambayo unaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.