Kwanza ndugu Sadeeq lazima ujue nchi mbili kuamua kuwa na mahusiano ya Kibalozi ni jambo la hiyari, hakuna mahusiano "yasiyo na faida" yakaendelea kuwepo!. Ingawa swali lako linaonyesha "kusudio fulani" lakini vyovyote unavyotaka faida zipo tu. Nadhani nikushauri kabla hujauliza jambo ni vyema...
Not true! Hata ingekuwa sahihi taarifa hii bado si yakujivunia. Kushangilia kufutwa Uamsho ni udhaifu kwakuwa kama serikali ina nguvu kanini iogope kikundi tu! Smz si nchi ndiyo maana inachezewa hata na vikundi tu. Ingekuwa nchi isingeruhusu wahuni wanaojivika joho la Uislam kueneza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.