Recent content by King_kally

  1. King_kally

    SoC04 Wahitimu wa kidato cha sita wanapojiunga JKT watengewe muda wa kuishi kwenye jamii halisi za Kitanzania

    Hakika hii programu itakuwa ni chachu ya mafanikio kwa vijana na taifa letu kwa ujumla.
  2. King_kally

    Biashara ya usafirishaji makaa ya mawe

    Habari wakuu, naombeni msaada na ushauri juu ya biashara ya kusafirisha makaa ya mawe. Nataka kununua gari ili nianze usafirishaji wa makaa ya mawe. Natanguliza shukrani kwa wote watakao changia mada hii.
Back
Top Bottom