Recent content by king Truth

  1. king Truth

    JamiiForums Tanzania KERO Jiji la Mwanza ni chafu na hakuna utaratibu mzuri wa kudhibiti usambaaji wa taka

    Kama umefika Mwanza, utaona changamoto kubwa ya uchafu, hasa kutokana na wingi wa taka za plastiki na taka nyingine zinazotapakaa katika maeneo mbalimbali ya jiji. Mamlaka ya Jiji imeonekana kushindwa kuweka idadi ya kutosha ya mapipa ya taka katika maeneo muhimu, ikiwemo katikati ya jiji na...
Back
Top Bottom