Recent content by King of mediators

  1. K

    Dini zinavyoharibu watu akili

    Kidogo nimeanza kuelewa sasa 😂 kwanin wamisionari walikuja Kama watangulizi wa kikoloni. Ila niwaombe kuhusu dini kila mmoja ana Imani yake inayomtangulia baada yake tukifanya Mambo na hivyo kuhusu Aya Mambo yatatupotezea wakat bure na wanao endelea kusema hii ni Bora kura hii bado hawajakomaa...
  2. K

    SoC02 Uboreshaji wa Binadamu

    Makala yenye mvuto na ushawishi kwa vijana katika Mambo mazima ya sayansi na technolojia iko vizuri✊
  3. K

    SoC01 Ujasiriamali na Changamoto kwa vijana wa Kitanzania

    Kushinda au kushindwa ni sehemu ya maisha lakini ukiwa una nia ya kushinda haijarishi nini unafanya kwa wakati gani na mazingira gani Bali kitu chenyewe unachofanya kitajidhihirisha japo hakina uitikio mkubwa kwa watu lakini kwa wachache kinaweza kuwa chenye tija na kukufikisha hatua nyingine.
  4. K

    SoC01 Maendeleo ya kijamii: Changamoto na mapendekezo yake

    Shukran Sana kwa maelezo mazuri lakini kutokana na maelezo yako mwanzo ukipata kutaja Mambo matano lakini umeweza kuelezea matatu, Hivyo na maswali Kama mawili 1: je ni kivipi utawala Bora na miundombinu inaweza kuwa chachu ya kimaendeleo katika jamii? 2: changamoto gani zinaikumba sekta hizi...
  5. K

    SoC01 Ujasiriamali na Changamoto kwa vijana wa Kitanzania

    Sahihi kabisa na ninakubaliana na wewe 100% asa kwa wajasiriamali waigaji yaani wanaokuja au kuingia kwenye ujasiriamali bila maboresho yoyote ya bidhaa au huduma au shughuli zao ni vigumu Sana kuliko mtu Atakaye ingia na maboresho au ubunifu.
  6. K

    SoC01 Ujasiriamali na Changamoto kwa vijana wa Kitanzania

    Shukrani Sana ndugu Batholomeo Batho kwa maelezo yako mazuri lakini siku zote huwezi fanya biashara au ujasiriamali wa kuiga na ukategemea mafanikio na ndo Mana wengi wanaoiga wanashindwa kusonga mbele sababu moja bidhaa au huduma ni ileile hakuna utofauti wowote Kati ya mjasiriamali wa mwanzo...
  7. K

    SoC01 Ujasiriamali na Changamoto kwa vijana wa Kitanzania

    Asante ndugu Emanuel. Wajasiriamali waigaji ni Aina ya ujasiriamali ambao hauna tija katika jamii maana hakutakua na jipya katika mashindano au soko la kibiashara, watu au jamii ya sasa inataka vitu vipya na vya kisasa(ubunifu katika utendaji) na sio kucopy vya wengine na kufanya vyako Kwaiyo...
  8. K

    SoC01 Ujasiriamali na Changamoto kwa vijana wa Kitanzania

    UJASIRIAMALI ni mchakato endelevu unao ambatana na Imani juu ya kujikomoa kiuchumi kutoka hatua moja kwenda hatua nyingine ya juu zaidi. Nchi nyingi duniani hasa mataifa makubwa toka miaka ya 1960 zimepata kuendelea kutokana na sera tofauti tofauti zilizoanzishwa na serikali zao juu ya...
Back
Top Bottom