Recent content by king Musukuma

  1. K

    Natafuta rafiki wa kike

    mimi ni Mtanzania halisi natafuta rafiki wa kike amabapo Mungu akijalie nije kuish nae kama mke na mume. Napatkana Arusha awe mcha Mungu asizid miaka 28 mengine yote tutajuana zaid kadiri muda utakavokua unakwenda DM kwa mawasiliano zaid
Back
Top Bottom