Recent content by king Mazee

  1. K

    SoC04 Kuweka salama Vyanzo vya Maji kwa kupanda Miti Nchi nzima kupitia Wajumbe

    Kufikia Tanzania tuitakayo ni lazima kuhakikisha kuwa Vyanzo vikuu vya maji vinatunzwa na kulindwa ipasavyo kwakuwa Nchi inaweza kuweka malengo pamoja na mipango madhubuti kabisa lakini bila mpango mkakati juu ya suala la vyanzo vya maji ikashindwa kufikia malengo kwakuwa vyanzo vya Maji katika...
  2. K

    Mlioko kwenye ndoa naomba ushauri hasa wanawake: Nilifumaniwa na mtoto wangu wa kiume

    Tengeneza mahusiano mazuri na Mungu kwanza kisha ukishafanya hivyo Mungu wa mbingu na Nchi, mwenye enzi zote atakwambia chakufanya.
  3. K

    SoC04 Upatikanaji wa Elimu Bora

    Katika Maisha ukikosa mwanzo mzuri basi kila kitu kitayumbayumba mpaka kisimame inahitajika kazi ya ziada kwakuwa chochote kile kikianza na msingi mzuri uwezo wa kustawi ni mkubwa maana watu husema , Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Mmea ili ustawi vizuri lazima uanze na mizizi. Ili nyumba iwe...
Back
Top Bottom