Recent content by King Masha

  1. K

    Tetesi: CCM wanapita vyuoni kuorodhesha UVCCM waliokosa mkopo

    Pumba tupu hapo, hakuna ukweli wowote!! Kama huna cha kusema mbele ya jamii bora ujae kimya kuliko kupotosha umma kwa malengo yako bnafsi! Mkiadhibiwa mnasema serkal mbaya wakat nyie wenyew ndo wabaya kulko
  2. K

    ARUSHA: Tingatinga lafukua mamilioni yaliyokuwa yamehifadhiwa ardhini

    Mzigo wa mjinga huishia begani!!!! Pole yake, Mungu amjalie akili ya kubadilika!
  3. K

    Taarifa ya Polisi Dar kuhusu wanaojihusisha na ‘UKUTA’

    Unahis maandamano yakifanyika,kwa jazba anaeumia n nan!? Sio Chadema wala ccm bali n wew, mm na yule! Kwahyo hili swala sio la kushupaza shingo! Usikaze msuli kama upaja wako mdogo! Alisema "Fid Q"
  4. K

    CHADEMA watangaza kuanza operesheni ''Umoja wa Kupambana na Udikteta Tanzania" (UKUTA)

    Kwahyo wew na ukuta lengo lenu n kumkomoa Magufuli!? Akili chafu xana hii, uchumi ukidorora tunaathirika wore na wew ukiwemo!! Sio jambo la kushangilia hili aise, tatzo la ndugu zetu Chadema hupenda kutafuta huruma ya wananchi kana kwamba wanaonewa xana wakat wao ndo wakwanza kwenda kinyume na...
  5. K

    Uchaguzi wa Mwenyekiti CUF, Juma Duni Haji ndani, Lipumba atupwa nje!

    Lipumba na Slaa n mashujaa! Ingawa ushujaa wa Lipumba ni wa kimaslah!
  6. K

    Sakata la Lugumi: Naibu Spika ni kwanini asijiuzulu?

    Ni lazma ifike wakat damu ya Utanzania izunguke akilin mwa viongoz wetu ili kulinda rasrimali zetu kiyakinifu!! Haijalishi ni kigogo gan anaguswa na tuhuma fulan, lazma achunguzwe ipasavyo ili kuweka bayana uhalali au uharamu wa jambo, mkataba au makabaliano fulan! Kuhusu Sakata hili la Lugumi...
  7. K

    Tetesi: Sixtus Mapunda Akamatwa na TAKUKURU

    Hapa kazi tuu! Kila mtu afanye kaz halali
Back
Top Bottom