MAAZIMIO YA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CHAMA ILIYOKUTANA MACHI 1, 2016, JIJINI DAR ES SALAAM
Kamati Kuu ya Chama imesema kuwa tangu utawala wa awamu ya tano chini ya Serikali ya CCM ikiongozwa na Rais John Magufuli uingie madarakani, misingi ya uongozi bora na demokrasia ya vyama vingi imeyumba...