Recent content by King kida

  1. King kida

    JamiiForums Tanzania Roma Mkatoliki atangaza kuacha muziki!

    Roma unazingua
  2. King kida

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Diamond lakini kwa hili hapana...

    Diaomond angewambia wakurugenzi wa wasafi fm na tv wawe wabunifu bana manjojo yawe mengi sasa vipindi havina amshaamsha hadi cha didah mashamsham kinajitahidi lakin the switch kimepowa ma dj hawana mizuka wanapiga ngoma bila utundu matangazo yakiisha kama wanakaa kimya sometimes biti tu...
  3. King kida

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Diamond lakini kwa hili hapana...

    Hahaha sema mm ni team wcb aisee ukweri namkubali sana diamond ila sijui kwanini kwenye radio hakuna ubunifu kwakweri kama lilyommy kipindi yupo times fm alikuwa wa moto kwenye interview lakin saiv amepowa kma nin yani inshort hakuna mtangazaji mwenye swaga isee bola kina bdozen na jonijoo...
Back
Top Bottom