Recent content by King Alfa

  1. King Alfa

    Ukitaka kujiajiri elimu ya kidato cha nne inatosha, kusoma hadi chuo kikuu ni kupoteza muda

    Aki! Navyofikiri hyo miaka 5 ya kujitolea na miak 5 ya kusoma yaan a-level 2 na chuo kikuu 3...si bora niend soma asee!! Kulko kujitoleaa..(my idea!)
  2. King Alfa

    Ukweli juu ya herufi ""A-Z""

    Ahahaha...anti somo linahtajika hapoo andaa time eti..!
  3. King Alfa

    Ukweli juu ya herufi ""A-Z""

    Nice mkuu...ngoja niendelee kuongeza maarifa...
  4. King Alfa

    Ukweli juu ya herufi ""A-Z""

    Hivi ni nani aliyegundua herufi A-Z?? wapi aligundua? Vigezo vipi alivyotumia?? Au zilikuwepo naturally?? Ideas please...
  5. King Alfa

    Wana-Anga wa Urusi na Marekani wamekoma, hawataki tena kurudi mwezini

    Ko katika list ya sayari mwezi nao ni sayari...!!
  6. King Alfa

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mawazo hayana budi kuwa mazuri ili ufanikiwe mipango yako
  7. King Alfa

    Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

    Hahahaha duuu hataree !!!
  8. King Alfa

    Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Ukisikia paaaa........!!!
  9. King Alfa

    Mtambue mtu mwenye Jini Mahaba kwa njia hizi

    Hahaha angekuepo na jini elimu dvsn zero zisingekuwep !!!!!
Back
Top Bottom