Recent content by kinenekejo

  1. K

    Watu wa ardhi manispaa ya Kinondoni walisoma chuo gani?

    Uache kukariri dada yangu. Ukiwa na teknolojia lolote linawezekana hizo mita 60 ukienda hata ulaya huzikuti.
  2. K

    Hivi Kingunge Ngombale Mwiru alihudhurua mazishi ya Nyerere?

    baada ya kunukuu hiyo kauli, nini maoni yako?
  3. K

    Hivi Kingunge Ngombale Mwiru alihudhurua mazishi ya Nyerere?

    lete hiyo bili tuone. au unaandika kwa akili ya kushiba kiporo?
  4. K

    Hivi Kingunge Ngombale Mwiru alihudhurua mazishi ya Nyerere?

    nipe mjamaa hata mmoja aliyepo ugambani au Upinzani!
  5. K

    Hivi Kingunge Ngombale Mwiru alihudhurua mazishi ya Nyerere?

    unamzungumzia mungu yupi? na serikali ilikuwa ya dini gani kiasi cha kuteua wacha mungu wa hiyo dini?
  6. K

    Hivi Kingunge Ngombale Mwiru alihudhurua mazishi ya Nyerere?

    una uhakika na hayo au una argue kwa hisia? wewe kwako cheo kikubwa serikalini na chamani ni ukatibu mkuu wa Chama?
  7. K

    Hivi Kingunge Ngombale Mwiru alihudhurua mazishi ya Nyerere?

    hii ndio mada ya great thinkers? nani walienda kutoa updates za hali ya Mwalimu London? nani walienda kuuleta mwili Mwalimu alipofariki?
  8. K

    Press conference: Lowassa apelekewa ujumbe mzito

    kwa uandishi huu inaonekana viongozi wengi wana IQ bellow average ! Kama ni kweli huyu ni kiongozi wa elimu ya juu !
  9. K

    Press conference: Lowassa apelekewa ujumbe mzito

    tupeni CV yake ! inawezekana ndio wale Vihiyo!!
  10. K

    Elimu ya Dkt. Lucas Webiro wa CHADEMA kutoka Bunda

    mkuu huyu labda itakuwa GUMBARU. hiyo MEMKWA nadhani ilikuwa haijatake off! ila kama amesoma MEMKWA na hatimaye kuwa Mhadhiri chuo kikuu, basi huu Mpango maalum wa Elimu ya Msingi kwa walioikosa (MEMKWA) umepata mafanikio! yote hayo ni hapo atakapothibitisha ! hili doa la kughushi ni mzimu...
  11. K

    Elimu ya Dkt. Lucas Webiro wa CHADEMA kutoka Bunda

    kuzaliwa 1967, O level 1997 , A level 2000 yaani alisoma sekondari akiwa na miaka 33 ! huyu ni shida! hapo hakwepi tuhuma za kughushi ! yaani ameanza form 1 na miaka 27 ! huyu bora amejileta hapa! wenye mamalaka wamchunguze! kuwa ilikuaje aingie form 1 na miaka 27 kwa shule za...
  12. K

    Is It Possible, Mgombea wa CCM kwa 2015 ni Nchimbi?!. Yule "Jamaa Yangu" ni "Yohana Mbatizaji Tu?!.

    ulitaka atajwe Lekadutigitwe mwenzako? mbona unaargue kama vile hujawahi kula Dagaa kamanda!
  13. K

    Is It Possible, Mgombea wa CCM kwa 2015 ni Nchimbi?!. Yule "Jamaa Yangu" ni "Yohana Mbatizaji Tu?!.

    hii comment RITZ anaisoma kwa style hii:behindsofa: hakika mtaheshimiana!
  14. K

    Is It Possible, Mgombea wa CCM kwa 2015 ni Nchimbi?!. Yule "Jamaa Yangu" ni "Yohana Mbatizaji Tu?!.

    alikuwa kikwazo cha majangili kama wewe, ona sasa Magamba mmeshamaliza tembo wote
Back
Top Bottom