Recent content by Kindo Sila

  1. K

    KERO TAMISEMI Dodoma Kuna nini, naomba kujuzwa wadau

    Naomba kufahamu, MSHAHARA KUTOHAMISHWA kwenda kwa Mwajiri mpya baada ya kuhamisha Mwaka 2023 kwenda HALMASHAURI nyingine. Shida Nini, HR wa zamani ukimfuata anasema wewe siyo mtumishi wangu TAARIFA ZAKO ZA UHAMISHO nimeshatuma Dodoma TAMISEMI.
  2. K

    KERO TAMISEMI Dodoma Kuna nini, naomba kujuzwa wadau

    OR TAMISEMI, Dodoma kuna nini, naomba kujuzwa wadau. Mimi ni mmojawapo wa watumishi niliopata uhamisho toka kwa Katibu Mkuu TAMISEMI, nikihamia HALMASHAURI nyingine. Cha kushangaza, tangu kuripoti kituo kipya mwezi Oktoba 2023, bado CHEKI namba kwenye MFUMO wa UTUMISHI (ESS) inasoma kwa Mwajiri...
  3. K

    KERO Watumishi wa umma kutohamishiwa mshahara baada ya kuhama kwenda Halmashauri nyingine nini shida?

    Wadau tujuzwe hili kwa ufafanuzi. Nini shida kwa watumishi wa umma, waliohamishwa na Katibu Mkuu, TAMISEMI kwenda HALMASHAURI zingine, hasa walimu kuto hamishwa mishahara tangu walipohama Kati ya September na October 2023. Kwa maana kwamba CHEKI NAMBA bado zinasoma kwa Mwajiri we zamani kwenye...
  4. K

    Kwa vigezo hivi nina sifa ya kuwa Mkufunzi wa Chuo?

    Mimi NI mwalimu idara ya elimu Sekondari kwa zaidi ya miaka 12, Nilijiendeleza na kuhitimu kwa ngazi ya PGDE. Kabla ya ngazi hii, nilijiendeleza na kuhitimu shahada ya Uongozi na Utawala. Kabla ya shahada hii ya Uongozi, nilikuwa na diploma ya ualimu. Je, naweza kuwa na vigezo kuhamia chuo...
Back
Top Bottom