Recent content by Kindly

  1. K

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    Mjimba keshapiga gap Tayar 😂 Thanks much Mr Singanojr, big up
  2. K

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    Mkuu Singanojr tunakuitaaaa
  3. K

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    Mr singanojr we nae usituzuge umetokea sayari nyingne sio kwa utunzi huu. Aseee we nae utakuwa 👽 sio bure. You're the best brother!
  4. K

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    Mkuu singanojr nakuitaaa
  5. K

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Naitwa mume zoba kwa kumpenda mke wangu. (kisa cha kweli cha kusisimua)

    Inachosha na kuboa piaa
  6. K

    JamiiForums Tanzania Tukio gani mtoto wako aliwahi kukufanyia ukashindwa hata kumpiga?

    Shakur yangu daima lazima simulizi hii iletewe movie maana hata script zipo wazi haitamhangaisha director
  7. K

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    Il le mérite certainement 🤝
  8. K

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    Mkuu wewe kama story writer unawez kuchagua maana ikichezwa na wabongo tu haitanoga sana itafutiwe kidogo na Wataalamu nje ya ulingo wa bongo na msaada kdg niifikishe kwa kijana ndg yangu mwigizaji kisha afikishe wazo letu kwenye idara ya filam
  9. K

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Naitwa mume zoba kwa kumpenda mke wangu. (kisa cha kweli cha kusisimua)

    Mmmh hii story inaboaa, hata kama zoba kias gan uzuri tu hauwez kukufanya uwe bwege kiasi hicho. Hadi nmeshindwa kuimaliza imeboa sana
  10. K

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    Aseee Mr Singanojr you are the best of the best. A content creator kias kwamba tangu nimekutana na hii simulizi nimejitahidi kupitia kila siku mpaka leo nmefikia kipande cha kwenda sambamba na wewe. Big up sana bro! Kongole nyingi kwako. Though kuna vijana wasiojua kazi ya utunzi wanaleta lawama...
Back
Top Bottom