Mzigo wa Spirit umekamatwa jana tarehe 15/04 /2025 saa 10.jioni maeneo ya uchira. Vijana wa FAST TEAM wanekaa na gari mpaka saa 12. Jioni, Manager kupitia Msaidizi wake akapiga simu kuwaambia vijana wa fast waachue mzigo, na truck imeenda kushusha kwenye kiwanda Cha tajiri huyo Njia panda ya...
Nitauweka hapa punde tu, ninaushahidi wa kutosha, nakamilisha mambo machache. Ni vema tuwe na wazalendo wa kweli wa Nchi yetu, tutafichua Kila Kona tuilinde Nchi yetu na mafisasi
Manager wa TRA wa mkoa wa Kilimanjaro kushirikiana na wakwepa Kodi, Kuna vijana wamekamata mzigo ambao haujalipiwa Kodi na manager akawapigia vijana wa fast team kuwa wamwachie , na mzigo unashushwa sasahivi kiwanda Cha spirit pale Njia panda ya Machame. Wahusika mfatilieni huyu Manager wa Mkoa
Na huyu pia kazi yake ni kushinda mtaani, angejusje huyo jirani yake ansshinda ndani, na anskula nini? Umbeya jasband!! Mwenzio labda anafanya biashara mtandao!! Wewe unakariri maisha ya watu? Punguani mmoja wewe
Habari ndugu zangu,
Ninakereka sana na tabia ya baadhi ya mabasi yanayofanya safari kati ya Dar es Salaam na Moshi kuruhusu wauzaji wa machungwa kupanda ndani, hasa mabasi ya TILISHO na BM.
Fikiria abiria wamelala usiku wa saa sita au saa saba, ghafla mtu anaingia na kuwasha kipaza sauti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.