Recent content by Kinamasi

  1. K

    JamiiForums Tanzania Maoni Ushauri na Mapendekezo kwa mabasi ya mwendo kasi (DART): Nini changamoto, nini umefurahia?

    Tatizo ni watu wamesha athirika kisaikolojia, kutokana ha hali ya usafiri jijini, sasa hata wakiwa watatu kituoni zima watagombea tu kuingia. Na hiyo milango ya hayo mabasi kweli sijui kama itadumu.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Basi la Happy Nation Lapata Ajali Hedaru Laua wawili

    nani aliyemuona kuwa kasinzia? na aliyemuona kuwa kasinzia alimuona akiwa wapi?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Polisi wampiga mwanajeshi Tabora wanajeshi wazua taharuki

    utomvu ni aina ya majimaji yanayotoka katika mimea. hapa ungetumia neno utovu
  4. K

    JamiiForums Tanzania Majambazi yavunja ATM Tabata Segerea

    wanadhani ATM ni kama boksi
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kamanda Kova: Vijana wa Boxer wanatesa Mlimani City

    Hicho kituo ndio kitakua cha kuunganishia dili.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Je! Ni haki kwa walemavu wa kusikia kunyimwa leseni za udereva?

    Mi nadhani masikio yana umuhimu sana wakati wa kuendesha gari. Unaweza kupigiwa honi na gari jingine kama hukuisikia unaweza kusababisha ajali. Wakati unaendesha gari lako unatakiwa pia kusikiliza sauti ya injini na gari kwa ujumla. Utakaposikia mlio amabo sio wa kawaida utaweza kupaki gari na...
Back
Top Bottom