Recent content by kinakilishi

  1. K

    Pamoja na Upuuzi wa Khamenei Lakin baada ya vita ya Kagera alitukopesha mataifa yote yakiwa yametutenga! Ila bado alikuwa mwema kipindi hicho

    Khamenei amekengeuka kivipi? Mimi kwa ufahamu wangu Irani imevamiwa na inafanyiwa uadui kwasababu tu Taifa hilo limekataa kuwa submissive kwa Israel na Marekani. Je huko ndiko kukengeuka?
  2. K

    Leo ni siku ya mimea duniani. Ijue mimea mitano iliyo hatarini kutoweka duniani

    Tutunze mazingira kwa faida yetu ba kizazi kijacho
  3. K

    Kitendo cha Mzee Butiku kujitokeza kujibu juu ya Polepole kutekwa ni dhahiri kuwa anafahamu mchongo mzima

    Anaweza kuwa aliwasiliana naye lakni si lazima afahamu kuhusu kutekwa kwake.
Back
Top Bottom