Recent content by kimuli

  1. K

    Akianza Novatus Dismas kiungio tunafungwa. Napendekeza aanze Mtasigwa

    Daaa mpira nayo ni shule kumbe, nado aanze kwa mzize? Hii mechi hatuhitaji sare ni ushindi tuu. Novatus mzuri sana kupiga long passes zinazonguka nyuma ya mabeki. Na kukaba yupo vizuri. Kapombe mzuri sana kwa kupiga cross passes. Mwaikenda akipelekewa moto anakata upepo yule. Angalizo guirassy...
  2. K

    Je, Muuza Madafu wa Ikulu atakuwa na maajabu ulingoni?

    Watu hawataki kuleta matokeo
  3. K

    Ofisi za TRA kuwa wazi Juni 8 na 9, 2024 nchi nzima

    TRA inakuwaje system ya kutoa receipt za EFD haifanyi kazi siku ya pili Leo. Au na ninyi mpo kwenye mgomo kama wafanyabiashara.
Back
Top Bottom