Kama neno 'technical' hufahamu kwa ufasaha ,njoo nikufundishe jamaa yangu .
Utanishukuru sana.
Kama ulifeli mitihani ya fomu 4 ,unaweza kurudia na ukafaulu vizuri sana.
Kama ulimaliza chuo hufahamu kiingereza vizuri ni wakati wako sasa kujifunza.
Usikate tamaa mkuu.
Karibu sana.
Tafiti zinaonesha kuwa idadi kubwa ya wanafunzi wa sekondari zaidi ya 72% hufeli somo la kiingereza. Zipo sababu nyingi ikiwemo kutokuwepo kwa vitambu ambavyo ni technical. Mwanafunzi anashindwa kufaulu kutokana na minotisi mingi anashindwa aanzie wapi.
Hivyo kwa kutambua umuhimu wa elimu ,hii...
Jipatie hii pamphlet maalumu. imeandaliwa kitaalamu na ni technical kwa wanafunzi wa sekondari.
Kitabu (pamphlet) kimoja kuna masomo mawili (kiingereza na fasihi ya kiingereza)
Fomu 1_4.
Mwanafunzi anaouwezo mkubwa wa kufaulu kupitia hiki kitabu..mifano ni mingi imewekwa.
Pia kuna mitihani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.