Kuna chizi flani alipanda juu mnara mrefu sana,uliojengwa kwa zege,na nondo..sikumbuki ni wa kumbukumbu au laah?!!na kupanda kwake ni shughuli pevu,urefu ni kama zile twin tower za epa.....basi shughuli ikawa kumshusha huyo chizi kwa usalama wake...walianza na mgambo wa jiji,wakifuatiwa na...