Nashukuru leo nimeshirikiana tatizo langu na watu wenye maarifa wamenipa picha mpya kabisa nikiri imenijenga kifikra kuliko ilivyokua jana na maoni yao nimeanza kuyafanyia kazi leo leo
Mwanzo nilikua kama wewe mkuu japo nina marafiki and tunaongea japo siku hizi tunaongea mambo ya muhimu tu, nahisi tatizo langu lilianzia hapa. Siku hizi nmekua na hasira sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.