Recent content by kimeta cha ufisadi

  1. K

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa TRA Geti no. 5 waswekwa ndani mchana huu

    Mimi najuta ni kwanini kura yangu sikumpa huyu jpm nikasumbuka kupanga foleni kumchagua jizi na fisadi mkuu no. 1
  2. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya kusoma makala yake nikaisaka CV ya Njelu Kasaka

    Njelu Kasaka nasikia kaangushwa tena kwa Mara ya 3 Jimboni Lupa!
  3. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Membe kuzungumza na waandishi wa habari leo saa 5 asubuhi ukumbi wa Mwl.Nyerere

    Allan kiluvya wewe ni mtumishi wa foreign affairs?
  4. K

    JamiiForums Tanzania CCM Mbeya hakieleweki, kumechafuka

    Huyo anaye mchafua Mhe, Zambi ni Huyo anaye jifanya kamkaba koo kumbe anajitekenya mwenyewe. Zambi ubunge atashinda na ndio maana Mtela aliamua kujisalimisha. Huyo Mwenisongole ndio anaye hangaika na makundi ya Urais leo kwa Lowasa kesho kwa Pinda mara kwa Wasira. Mwenisongole ni Sheeeeedah...
  5. K

    JamiiForums Tanzania CCM Mbeya hakieleweki, kumechafuka

    Ccm mbeya chini ya uongozi wa Mhe, Zambi Stabilise sana. Rejelea chaguzi ndogo za Udiwani Mbeya Santilya na Malindo CCM ilifanya vizuri.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kama hujaona taarifa zako za mkopo niulize nikusaidie

    Please mkuu naomba msaada uniangalizie S1361.0032.2011 DIANA MWAKIBINGA
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kama hujaona taarifa zako za mkopo niulize nikusaidie

    DIANA MWAKIBINGA please mkuu niangalizie
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kama hujaona taarifa zako za mkopo niulize nikusaidie

    Sorry Mkuu Enantiomer
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kama hujaona taarifa zako za mkopo niulize nikusaidie

    Mkuu Canto nakusubiri chief huyo ndo hawa fresh hivi ni 2011 au 2012?
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kama hujaona taarifa zako za mkopo niulize nikusaidie

    Msaada mkuu ni checkie BEATHA JOSEPH S0201/0018/2011
  11. K

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA Mkoa wa Mbeya muda huu katika ukumbi Canival Night Club.

    Inasemekana wapo wanapanga maandamano yaliyo tangazwa na Mbowe siku ya Birthday yake. Vijana wengi tunao hapa tunawachora wanasema waandamane kwanza wao na familia zao ndipo wao watawaunga mkono. Wengine wanasema Dkt Slaa apeleke kwanza pesa alizo muahidi mjane wa Mama Mwangosi ndipo aje...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Wassira ategua bomu la Lowassa linalosubiriwa kulipuka

    Hakika wasira ni mzee wa mpango mkakati unao tekelezeka,
  13. K

    JamiiForums Tanzania PAUL MAKONDA Awageuza vijana wa CCM walioko MSASANI Club kuwa omba omba

    Nasikia wewe umewekwa kinyumba na Makonda huko Dodoma, shame on you!
Back
Top Bottom