Recent content by kimburu06

  1. kimburu06

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi makampuni ya Kenya yanavyozidi kuliteka soko la EAC lenye idadi ya watu milioni 150

    Kwani kibera hapatoshi?
  2. kimburu06

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya's population stands at 47.6 million; Nairobi most populous county with 4.4 million people. A breakdown

    Sasa hiyo PCI ndo itapunguza njaa??
  3. kimburu06

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 12th Africa Games, Morocco 2019: #TeamKenya Official Thread.

    Hongera, Ila warudi home wapambane na bei ya unga!!
  4. kimburu06

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Uhuru atumbuiza kwa lafudhi ya Kijamaica baada ya kurudi nchini

    Sasa hiyo rafudhi italeta mahindi?
  5. kimburu06

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenyan fishermen suffer in the hands of Ugandan soldiers

    Sasa Kenya lake Victoria mana asilimia 5% kulialia ya nini waacheni wenye ziwa ,Uganda 41% na tz 54% tujinafasi
  6. kimburu06

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Today Kenya has opened Africa's largest wind power plant

    Wazee wa the 1st in Africa, Ila kwanini hamjivunii KIBERA kuwa the first in africa?
  7. kimburu06

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania kenya Ports Authority (KPA) launches plan for Kenya's tallest tower dwarfing TPA in Dar Is slum.

    Unajua mpaka size ya britam na uku unalala kibera you guys are heroes of stupidity[emoji23] [emoji23]
  8. kimburu06

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Magical Kenya Sponsors Lion King Red Carpet

    In conclusion who gets huge revenues in tourism in EAC?? I want answer from kibera!
  9. kimburu06

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Poverty Rates In Africa(Top 10)

    Acha tuzaliane mana mapori yamejaa atayatumia nani sasa ,ukisafiri kutoka dar kwenda kanda ya ziwa utaona mapori yenye rutuba yamejaa bila watu.
  10. kimburu06

    JamiiForums Tanzania East Africa yazidi kupendeza. Hii ni video ya Dar

    Uku morogoro road iko on fire, subirini.
  11. kimburu06

    JamiiForums Tanzania East Africa yazidi kupendeza. Hii ni video ya Dar

    Wakeii hawakai na raha bila kuipost "thika super highway"[emoji23] [emoji23]
  12. kimburu06

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenyans living abroad sent home more money last year than the rest of the East Africa Diaspora combined

    Sasa nashaangaa mnaanzisha xenophobia behaviours kwa majirani wakati mnategemea nje ya nchi yenu you guys are funny. Last time nilikuwa Zanzibar kuna baa nimekutana na wadada wa kikenya wanajiachia tuu na lugha yao pendwa English ,wameesahau kabisa nyumbani kibera, hahaha
  13. kimburu06

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania handles 85% of cargo destined to Rwanda

    Kama Rwanda Leo sio deal kwa Kenya,kwa nini sasa nyie mliishobokea COW.
  14. kimburu06

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania SAA yapitia hali gumu, liwe somo kwa wale wana wehuka kisa ndege

    Sasa nyie KQ mna ndege 3 wewe unawasiwasi gani ??we kula bata tu hapo kibela
  15. kimburu06

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya leads Africa in Artificial Intelligence technology

    MK254 Mzee wa magumashi.
Back
Top Bottom