Recent content by kimbilioletu

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha miwa cha Mkulazi ni kilio kwa wananchi

    Tatizo watz wengi wetu ni wajinga mno. Tunasifia kitu hata hatujui madhara yake. Nimekutana na mtu mmoja anamsifia Rais Magufuli. "Rais huyu noma sana...ni kiboko....aendelee hivi hivi....hakuna kuongeza mshahara toka aingie madarakani.....tutaheshimiana tu." Yeye ni mchuuzi anauza matunda...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha miwa cha Mkulazi ni kilio kwa wananchi

    Serikali ya awamu ya tano imeharibu maisha ya wananchi.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha miwa cha Mkulazi ni kilio kwa wananchi

    Huyu ni Yesu wa chato au?!
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha miwa cha Mkulazi ni kilio kwa wananchi

    Kuna mkandarasi mmoja alikopa mafuta kituo fulani cha mafuta ili awalimie wakulima, since december last year mpaka leo hajalipwa pesa yake.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha miwa cha Mkulazi ni kilio kwa wananchi

    Management ilisavunjwa ikawekwa nyingine, but up to know nothing is going on.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha miwa cha Mkulazi ni kilio kwa wananchi

    Siyo kidogo mkuu.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha miwa cha Mkulazi ni kilio kwa wananchi

    Akina Pengo na akina Gwajima wananyamaza kimya wakati Yesu anafananishwa na mtu wa chato.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha miwa cha Mkulazi ni kilio kwa wananchi

    Wamevumilia kiasi cha kutosha mkuu, mi nawashauri watumie nafasi ya uchaguzi ujao ili kuwawajibisha viongozi
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha miwa cha Mkulazi ni kilio kwa wananchi

    Kipo Kilosa mkuu. Ila sehemu kubwa la eneo hilo lipo wilaya ya mvomero
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha miwa cha Mkulazi ni kilio kwa wananchi

    Economic is sinking----Peter Msigwa
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha miwa cha Mkulazi ni kilio kwa wananchi

    Kuna baadhi ya wakulima waliacha kulima mpunga wakalima miwa, muda huu hali zao ni mbaya sana, hawana hata chakula.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha miwa cha Mkulazi ni kilio kwa wananchi

    Habari! Hiki ni kiwanda cha miwa cha mkulazi(Mbigili). Hapa kiwandani baadhi ya miwa imekomaa lakini kiwanda haifahamiki kitaanza lini usindikaji. Ni kiwanda ambacho kipo wilaya ya Kilosa, ujenzi wake unasuasua sana...
Back
Top Bottom