Recent content by Kimbaka

  1. K

    Swali kwa wanaotaka UKAWA warudi bungeni

    Nashangaa sana, kama elfu 17,000 waliotoa maoni ya serikali tatu ni wachache sana. Je wabunge wa ccm na washirika wao walioko bungeni hawazidi 500. wao wankuaje wengi kuwaamulia watanzani serikali 2. je 17,000 na 500 wepi wengi????
  2. K

    To be Honest, Wanachokifanya UKAWA sasa hivi ni Hujuma dhidi ya Nchi.

    heri mjinga ambaye akieleweshwa huelewa. mbona jambo rahisi lakini watu hawataki kuelewa.ukawa wanachosimamia ni wingi wa maoni ya wananchi kuhusu katiba. wala hakuna mbunge wa upnzani ambaye amesema anawakilisha maoni ya wapiga kura wake. ikumbukwe kuwa hata hao ccm wanaosema wanawakikisha...
  3. K

    Siri ya kudai serikali tatu yagundulika

    heri mjinga ambaye huduwaa, aaa kumbe. uliza uambiwe, serikali tatu zitapunguza sana gharama tulizonazo sasa. mfano, tukiwa na raisi wa muungano ambaye atakua na mawaziri wasiozidi 7. tukawa na makamu wa kwanza wa raisi ambaye atakuwa mtendaji mkuu wa serikali ya tanganyika na serikali yake...
  4. K

    To be Honest, Wanachokifanya UKAWA sasa hivi ni Hujuma dhidi ya Nchi.

    Ubinasfi mkubwa wa ccm, kama wananchi 17,000 waliotoa maoni ni wachache sana, Je wabunge wa bunge la katiba ambao ni 639, waliobaki bungeni 400 wanatoshaje kuwasemea watanzania.
  5. K

    To be Honest, Wanachokifanya UKAWA sasa hivi ni Hujuma dhidi ya Nchi.

    kama in suala la demokrasia ya wengi wape, basi wananchi wengi waliotaka serikali tatu wapewe haki yao kwanza,
  6. K

    Ajabu na Kweli, Eti UKAWA Wanaogopa Kununuliwa na CCM

    watu wengine mnashindwa kufikiri mambo rahisi mno, kama 17,000 hawatoshi, 400 walioko bungeni wanatoshaje
  7. K

    Acting Prime Minister Sitta

    habari wana jamii forum, kwa wale wanaofuatilia bunge let mtakuwa mmegundua kua waziri mkuu alipotoka bungeni kwenda arusha alimuachia mh. Sitta bunge.Je mnaonaje jinsi Mh. Sitta anavyojibu maswali na hoja mbalimbali bungeni mkilinganisha na mheshimiwa wetu.
Back
Top Bottom