Recent content by kimarojoseph

  1. K

    JamiiForums Tanzania Tutarajie nini matokeo kidato cha nne 2013?

    TULIZA MTORI NYAMA ZIKO CHINI MATOKEO 4M 4 YANAJUMLISHWA VIZURI NDANI YA WIKI HII YATATOKA.NO PROBLEM>KAJIPANGE TU 1,2,3, NA 4ZA POINT 26,27 WAMECHAGULIWA.NI KAMA ILIVYOFANYIKA SHULE ZA MSINGI ..>MMES OYEEEEEEEE!> HII NDIO TANNNNNNNNNZANIA :israel:
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tunataka elimu ya namna hii kwa watanzania

    Lazma kwanza viongoz kwenye sector ya elim waweze kufocus ahead otherwise zitabaki propaganda tu.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mpya kutoka heslb hii hapa baada ya kugoma kufunguka cku kadhaa waja na jipya

    nafuran xana kusikia good news maana tukikoxa kabisa tutajisikia kama sii watanzania wakati tumesubmit vilivyotakiwa.Na hslb jaman tupakulien mikono inakauka sasa
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mliotuchinjia baharini

    naomben ushauri je nikipostpond na mkopo ukija itakuwaje mwakan itanilazim niombe upya au ntalikuta chuon mwakan?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mliotuchinjia baharini

    Tumeshasubmit missing particular kwa loan bordy tusubiri hadi lini loan bord watujibu maana hatujaweza hata kureport chuoni.tujuzeni mapema tujue lakufanya kama nikupostpon au vp.matumbo yetu yanaumia shauri ya ngojangoja!
  6. K

    JamiiForums Tanzania Link za majina ya bodi ya mkopo (Loan allocation list) 2012/2013

    jaman tulikuwa na some problems kwenye form zetu za mkopo lakin tumesubmit missing particulars ila je heslb ndo wameamua kutuchinjia baharini?
Back
Top Bottom