Ramani iko hivi anayeweza kwenda alete mrejesho asikae kmy unaptia boda ya tunduma pale songwe unakata passport ya kuingia zambia nda unavuka unaulizia gar za nkondo ulumba unapanda naul haizid ef 30 ukikosa panda Express ya buku mpk mizani shuka chkua boda mueleze unaenda kwa nkondo ulumba...
Hapo kuna ndugu yng kashapeleka watu zaidi ya wa3 kule amna longo longo sema nachofail ni nauli tu ila naeza kukuunganisha nae ukafanya utaratibu ukaenda nae make kule bila mwenyeji utatapeliwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.