Recent content by Kimalingano

  1. K

    JamiiForums Tanzania Huyu Baba Askofu, tunaomba Serikali impatie Ulinzi! Usiku na Mchana

    Ameongea kiupako kabisa.Amenena vema.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Uganda Kujenga Kiwanda Kikubwa Cha Kusafisha Mafuta Cha Trilioni 56 Tanga.

    Mbona juzi kwenye uzinduzi wa kiwanda cha Dangote,Museveni hakuonyesha kujua mpango huu wa Tanga.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu ziara zako mikoani hazitatui matatizo ya wananchi. Watumie viongozi mikoani

    Naunga mkono hoja.Inaonekana viongozi wote wa chama na Serikali hawatambui mamlaka yake.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mahakama ilimkutaje Lissu ana kesi ya kujibu kwenye kosa lisilokuwepo Kisheria?

    Ukisema umma wa Watanzania maana yake hata Rais,Makamu wake,Waziri Mkuu nk walichocheka. Kwa kweli Lissu ana akili kubwa sana. Hoja ya pili ni kuweka maneno "...kuzuia uchaguzi..." kwenye mashtaka.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mahakama ilimkutaje Lissu ana kesi ya kujibu kwenye kosa lisilokuwepo Kisheria?

    Kama Mahakama ikiona kuna mashaka kidogo ya ushahidi uliotolewa na upande wa mashtaka,huwa inatoa fursa kwa mshtakiwa kujitetea ili aweze kuondoa mashaka hayo. Kwa mfano,kwenye kesi ya Lissu Mahakama ilisema kuwa kwa hatua ile haikulazimika kuchambua kwa undani ushahidi uliotolewa na waendesha...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Majaji kwa Woga wenu, Ni kweli Mwaipopo Katumwa, ila Katumwa kuwapa Presha pasipo Mtumaji kujionyesha wazi !! Mtasababisha Mzozo wa Kidini Nchini !!

    Sidhani kama Lissu atakutwa na hatia.Wakifanya hivyo,utakuwa ni uonezi kama uonezi mwingine aliowahi kufanyiwa.Wote tuliofuatilia kesi hiyo,tunathibitisha kuwa hakuna kesi hapo.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nini kinaendelea kwenye Hifadhi za Wanyapori???

    Na kama wiki mbili Kijana mmoja kati ya waliopotea njia aliuawa na wenzake kujeruhiwa kutokana na mateso ya vipigo huko Arusha.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Adelaus Mwakwega dhidi ya Ayoub Rioba

    Lakini pia huyu Makwega hasemi yeye alishindwa vipi kuongoza Halmashauri ya Lushoto kwa nafasi yake kama Mkurugenzi (DED).Kati ya waandishi wa habari ambao waliwahi kuteuliwa kuwa viongozi (Ma-DED na DC) yeye ndiyo ana rekodi kubwa ya kuharibu.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Adelaus Mwakwega dhidi ya Ayoub Rioba

    Ni kweli kwamba walimu walio wengi wakifundisha kwa muda mrefu na baadaye wakapewa majukumu ya kiutendaji, huwa utendaji wao unakuwa tofauti na yale waliyokuwa wanafundisha.Huwa ni ngumu kwao kubadili nadharia kuwa vitendo. Mimi naamini Dk. Ryoba alikuwa kiongozi mzuri akiwa TBC.Malalamiko hayo...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kuamsha mtoto saa 11.00 alfajiri kwenda shule ni ujinga na kutojali afya ya mtoto wako

    Wawe wanalala mapema.Wanakula saa moja jioni na kulala saa tatu.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Natamani au napenda kuepo na mabadiliko ya baraza la mawaziri

    Ni mawaziri wote hawafai.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Zifahamu kata 10 za Temeke zitakazopisha ICD

    Hawana utashi tu wa kufanya hivyo.Gharama ya kulipa fidia na kujenga miundombinu ya kuweka hiyo mizigo hapa mjini lazima itakuwa kubwa zaidi ya kuboresha miundombinu ya kupeleka Kwala.
  13. K

    JamiiForums Tanzania KERO Ubovu wa barabara Iringa Dodoma

    Serikali haina fedha.Matengenezo kwa kiwango cha lami ya barabara la kilometa 7 tu pale Iringa mjini yamesimama.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Msishangae wakuu wa majeshi wakapanga safari kukimbia kesi

    Lissu kawapiga mbonge la mtego.Nadhani alitegemea kuwa hawatakuja ili kuthibitisha kuwa hiyo kesi ilikuwa feki.Kwani kama ingekuwa ni kesi ya kweli wangeenda kutoa ushahidi ili kuthibitisha kesi. Kwa hiyo mahakama haiwezi tena kuwa na kisingizio cha kumtia hatiani kwani Serikali haijachukulia...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Msishangae wakuu wa majeshi wakapanga safari kukimbia kesi

    Hongera sana,kwani uliona mbali.Ndicho kilichotokea.
Back
Top Bottom