Recent content by Kim_mhando

  1. K

    Kwa wanaume tuu.... Ushauri wenu tafadhali

    Kaka mchukue A, that shouldnt even be a question. mapenzi atafundishwa tu mbele kwa mbele, ndo maana kuna Singo na Kitchen Party. Inawezekana anaboa kwenye mapenzi due to her past experiences , i.e. her previous lovers weren't as good so kaamua kuchukulia poa sana mambo hayo. sasa ukionyesha...
  2. K

    Wanaume wote wa JF someni hii,mmoja wenu ndo kafanya haya

    Nilivyokielewa kisa ni kwamba demu aliomba msaada coz shelli za karibu hazina wese SIYO kwamba hakuwa na pesa ya kununua mafuta. In this case naona yuko sahihi kumwomba mme wake amsaidie kupata mafuta KABLA hajatafuta msaada sehemu nyingine. So mnaotetea msimamo wa huyo mme wake wa kukataa...
Back
Top Bottom