Recent content by Kim McDamon

  1. Kim McDamon

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua maswali nitayokutana nayo airport immigration

    Email mcdamonkim@gmail.com
  2. Kim McDamon

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua maswali nitayokutana nayo airport immigration

    Sure nitumie CV yako naweza kukuunganisha kwani nilichogundua huku kazi zipo zakumwaga ila wafanyakazi wapo wengi lkn wingi wa kazi ni mkubwa kushinda hiyo population ya foreigners wanaoingia Qatar
  3. Kim McDamon

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua maswali nitayokutana nayo airport immigration

    Mrejesho Nimefanikiwa kupita airport na kwa sasa nipo nchini Qatar na piga kazi tokea January 19 2020 ☺☺☺☺ nashukuru kwa advice na idea zenu 🤗🤗🤗🤗
  4. Kim McDamon

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua maswali nitayokutana nayo airport immigration

    Duuuuuhhhh mambo ni moto kweli
  5. Kim McDamon

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua maswali nitayokutana nayo airport immigration

    Nipe elimu zaidi mkuu
  6. Kim McDamon

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua maswali nitayokutana nayo airport immigration

    Sawa mkuu naJe kwa wale wanaienda kufanya kazi za ndani huwa wanahitaji kuwa na mkataba was ajira za huko nje?
  7. Kim McDamon

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua maswali nitayokutana nayo airport immigration

    Na vipi kuhusu documents unatakiwa kuwa nazo??
  8. Kim McDamon

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua maswali nitayokutana nayo airport immigration

    Okay Je hawahitaji mkataba wa kazi
  9. Kim McDamon

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua maswali nitayokutana nayo airport immigration

    Habarini wanajopo, Naomba kujua ukiwa na work Visa yakwenda nchi za watu kufanya kibarua. Unatakiwa uwe na documents zipi hususani nchi ya Qatar. Na maswali gani utakayo kutana nayo Natanguliza shukrani
  10. Kim McDamon

    JamiiForums Tanzania Nauli ya ndege kwenda Qatar

    Hiyo ni class ipi 😊😊
  11. Kim McDamon

    JamiiForums Tanzania Nauli ya ndege kwenda Qatar

    And go and return tickets bei ngapi?
  12. Kim McDamon

    JamiiForums Tanzania Qatar Airways kuongeza ruti ya kutokea KIA kuanzia tarehe 01/06/2019

    na bei ya tickets ni bei gani from dar to doha
  13. Kim McDamon

    JamiiForums Tanzania Nauli ya ndege kwenda Qatar

    Habarini wana jopo, naomba kujua kwenda Qatar kwa ndege ni bei gani? Natanguliza shukrani
  14. Kim McDamon

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupata connection za ajira na machimbo mengine

    Wenye michongo ya manpower nchi za watu watuungsnishe
Back
Top Bottom