Recent content by Kilongawima

  1. Kilongawima

    Aliyevamia Kiwanja cha mwingine kwa miaka 20 Mbezi Africana avunjiwa ghorofa

    Tunaendelea kumshawishi aliyebomolewa atupe ruhusa ya kueleza kila kitu ili watanzania wajue bado tupo kwenye mchakato
  2. Kilongawima

    Aliyevamia Kiwanja cha mwingine kwa miaka 20 Mbezi Africana avunjiwa ghorofa

    Kuna watu ukiwaondolea nafasi na Elimu ya mashuleni wanabaki watupu kiasi cha kushikwa mkono kupelekwa chooni.
  3. Kilongawima

    Aliyevamia Kiwanja cha mwingine kwa miaka 20 Mbezi Africana avunjiwa ghorofa

    Kibali anacho, Hati za umilki kutoka ardhi anazo, mabadiriko ya matumizi ya ardhi anayo.
  4. Kilongawima

    Nampongeza Askofu Rugambwa wa Nyaishozi kwa Kuteuliwa kuwa Kardinali Mpya

    Wewe unaonekana hauna akili una mtindio wa ubongo. Kuna tofauti gani ya Muhaya na Munyambo? Na ulivyo mjinga umfahamu huyu Rugambwa ni kweli ni Munyambo sio Muhaya punguza ujinga kichwani mwako.
  5. Kilongawima

    Nampongeza Askofu Rugambwa wa Nyaishozi kwa Kuteuliwa kuwa Kardinali Mpya

    Tusi kwa maana wanyambo ni bora au wahaya ni bora? Nisaidie ilo tafadhali
  6. Kilongawima

    GE2020 Hongera Tundu Lissu kwa kumpigia kampeni Magufuli leo

    Mmmh mkuu umeyatoa wapi haya? Imebidi nicheke [emoji3] nyie watu jamani si bora utumie muda kidogo kusoma kuliko kuandika kitu ambacho ukijuhi?
  7. Kilongawima

    GE2020 Siku 13 za Tundu Lissu tangu aingie nchini Tanzania

    Mbona unapatwa ndoto za jioni hata usiku bado?
  8. Kilongawima

    Kwa Jinsi Rais Magufuli alivyotangaza mambo ambayo Mkapa alifanya naona kila kitu cha maana leo yeye ndio alianzisha

    Kodi atulipi mdomoni kama unavyofanya mkuu. Sina ulka ya majivuno vyovyote utavyonichagulia nipo sawa kukubalia tu. Unafikuri kila mtu akianza kutamba humu wengine si mtaanza kuwaamkia watu bila kuwafahamu?
  9. Kilongawima

    Kwa Jinsi Rais Magufuli alivyotangaza mambo ambayo Mkapa alifanya naona kila kitu cha maana leo yeye ndio alianzisha

    Kila kitu kimeanza hadi baadhi ya material mitambo na kambi imeishakamilika na imeanza kazi usiku na mchana
  10. Kilongawima

    Kwa Jinsi Rais Magufuli alivyotangaza mambo ambayo Mkapa alifanya naona kila kitu cha maana leo yeye ndio alianzisha

    Chuki zako kwake zipo wazi wazi. Ubaya ni kwamba tupo nae zaidi ya miaka 10 mbele mtakufa kwa chuki.
Back
Top Bottom