Recent content by kilogha

  1. K

    Ushauri: Tiba ya kikohozi na mafua

    Mheshimiwa kwa maelekezo yako nimepata kupona, yaonekana ni allergy km ulivyosema. Dawa hiyo imenisaidia sana.
  2. K

    Ushauri: Tiba ya kikohozi na mafua

    Daktari ni wajibu kuwaona na nimeshapita huko hata hizo dawa nilojaribu ni zakuambiwa na madaktari, lkn wajua watu huzidiana kulingana na cases. Ushauri ninaohitaji ni kufikia tiba halisi. Nimechunguza pia nakuwaona hospital wengine wenye matatizo kama haya, wakihangaika.
  3. K

    Ushauri: Tiba ya kikohozi na mafua

    Kwa wiki sasa ninasumbuliwa na kikohozi kikavu kisicho na makohozi. Nimetumia Antibacteria na syrups sijaona dalili za kupona, naomba ushauri wenu?
  4. K

    Ninahisi Nimeadhirika na Ugonjwa wa Ukimwi

    Mzee pole, ila kumbuka dawa ya kwanza ktk mwili ni kuondokana na woga usio na msingi (phobia) jipe ujasiri na usijiogopeshe ukapime UTI na kisha Ukimwi ukipata ujasiri zaidi.
  5. K

    How to use JamiiForums effectively

    Hi! I would like to say hello, I am staying tuned to enjoy the many information from the various reports as I guide myself to the system.
Back
Top Bottom