Mkuu.. Pius, Kilimo cha umwagiliaji kwa matone(drip irrigation) kinawezekana tu kama unauhakika wa maji, maji sii lazima yawe ya kutoka kwenye kisima au bomba, unaweza tumia maji ya mto au bwawa vile vile pia, unachofanya ni kuya pima maji ili kufaham hali yake katika matumizi ya kilimo...