Recent content by kilimahewa

  1. K

    Aunt Ezekiel: Mvuto wa kipekee

    is very nice forum
  2. K

    Tanzania TV channels

    Wakuu havi karibuni haba dubai tulikuwa tukiburudika na channel 2 za tanzania. TBC1 na Channel 10 katika satellite Eutelsat W2A na sasa imekuwa ya kulipia (Startimes TV).je ni taratibu gani za kupata smart card.......... natanguliza shukrani
  3. K

    TBC 1. Eutelsat W2A (10°E),

    kwa hapa nilipo siipati kabisa.iko mbali.kwangu nilikuwa napata uzuri katika Eutelsat W2A (10°E),lakini sasa imekuwa scramble.nahitaji nipate jinsi ya kuwasiliana ili hata nilipie
  4. K

    TBC 1. Eutelsat W2A (10°E),

    ahsante sana je una contact zao. sababu niko dubai.nje ya nchi
  5. K

    TBC 1. Eutelsat W2A (10°E),

    :angry:Wandugu please kuna channel 2 za kitanzania zinapatikan katika Eutelsat W2A (10°E),TBC 1 na channel 10. kwa sasa zaonekana ni za kulipia. je ni taratibu gani za kupata smart card? nashukuru
Back
Top Bottom