Sijui hata kama unajua vzuri urusi na USA, historical background ya hizi nchi mbili,lakini pia vita ambavyo hizi two blocks (NATO &Russia) ungeelewa vzuri usingeandika ulichoandika, ushauri wangu soma Sana historia ya USA and Russia that's why wenye uwelewa wanasema vita ya USA & Russia hawezi...
Pale Mwanzo nilikuwa naamini hivyo but now kaka ni vita ya Marekani ,NATO ,uulaya Vs Russia.
Ukraine ni mhanga tu kwasasa,hii ilikuwa inakuja tu ilionekana since Putin alivyochukua kijiti cha uraisi .
Mwisho ya hii vita haitakuwa na mshindi Kati ya Russia Na USA ila Ukraine ndio hataweza tena...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.