Recent content by kiletsa

  1. K

    GE2010 Dr. Slaa kumuwekea pingamizi Kikwete!

    Nadhani ingekua vema tukaendelea kumtambua kama Dr., sijui kama bado yeye ni Padri. Watever the case, sikubaliani na huyo Bull hata kidogo mana ktk kuongea ana mengi tufauti na wengine, ILA KAMA KAWAIDA YETU MANENO NA MATENDO NI TOFAUTI SANA!!, Labda kama una ushahidi wa utendaji wake, na sijui...
  2. K

    Picha iliyoniboa sana leo hii..

    hata kama vazi limekaa pabaya ile kenyewe kazuri kiasi..... ndo mambo ya kileo, jamaa yangu kanambia...'zamani ilikua ni vazi linaufunika mwili, ila siku hizi yatakiwa mwili ndio unafunika vazi'
  3. K

    GE2010 Dr. Slaa kumuwekea pingamizi Kikwete!

    Mkubwa ametumia swala la kupandisha mishahara kama njia ya kuwaomba watanzania kura, ambayo according to Dr. Slaa, inapingana na sheria mpya ya uchaguzi!! Sijaipata hio sharia mpya yasemaje kiundani....
Back
Top Bottom