Unapokuwa fundi kulaumu wapinzani Wakati mchezo wote mchafu unafanywa na ccm nakuona. Umepungua ama kwa makusudi au kwa kukosa weledi.Nyinyi ndio mnatufanya tukose umeme mpaka Karne hii
Polisi Wilayani Chunya wamezuia magari yote toka Chunya Makongolosi na yote toka vijijini KUSUBIRI MWENGE upite toka saa10 mpaka saa 5 hii.
Mwenge haujulikani uko wapi na utapita saa ngapi. Shughuli zote zimesimama KUSUBIRI upite. Sasa tutalaumuje kwamba maendeleo hayaji Wakati watu...
Mawakoli hao hodari wamerudia Tena na Tena kwamba hawapingi uwekezaji wote.Wanachopinga ni mkataba wa kinyonyaji.Wenye kutaka wawe na uhuru na aridhi yeti.Usio onyesha maslahi ya nchi yatakuwa yepi.Hauonyeshi hata wanakuja na sh ngapi.Huo ufanisi mbao usema kama ndio hoja mama wataleta Nini.Kama...
Uko kwenye hoja kweli.Hoja hujibiwa kwa hoja.Jibu vipengele vinavyo bishaniwa.siyo kuleta vijembe hapa.Alisoma Wakati wa Nyerere au mkoloni siyo Issue.Tunajadili mkata wa kuingiza nchi Chaka kama vile wote ni mbumbumbu
Urafiki iliuzwa ikowapi sasa.kiwanda Cha baiskeli Swala Kiko wapi.Ngoro ngoro mmemuuzia mwarabu wananchi wanateseka.Kupakua tu mizigo mnamwita mwarabu aje achukue kodi sisi tubaki tuna ng'aa macho.Mtaji wa sh ngapapi ana leta.Anakuja kuchuma tu
Kufunga mkanda ni police offense ambalo ni elfu theratbini lakini wao huandika 250000.Nafikiri wanapercent kubwa maana wanatafutiza hata kosa lisilo stahili
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.