Recent content by kikoozi

  1. kikoozi

    JamiiForums Tanzania Nahitaji palving block used zenye hali nzuri kwa matumizi

    nina eneo la Squre meter 260
  2. kikoozi

    JamiiForums Tanzania Nahitaji palving block used zenye hali nzuri kwa matumizi

    yeah i know ndio maana nimekuja kujaribu kuuliza na watu wa uku uwenda nikapata
  3. kikoozi

    JamiiForums Tanzania Nahitaji palving block used zenye hali nzuri kwa matumizi

    Nimewasiliana nao, hawana used na pia izo wanazo uza bei ni ya moto mnooo
  4. kikoozi

    JamiiForums Tanzania Nahitaji palving block used zenye hali nzuri kwa matumizi

    shida ipo wapi mkuu, ebu niambie
  5. kikoozi

    JamiiForums Tanzania Nahitaji palving block used zenye hali nzuri kwa matumizi

    Nipo dar es salaam na pia nahitaji USED (ambazo zimesa tumika ila zipo kwenye hali nzuri)
  6. kikoozi

    JamiiForums Tanzania Nahitaji palving block used zenye hali nzuri kwa matumizi

    Karibuni ndugu zangu
  7. kikoozi

    JamiiForums Tanzania Nahitaji palving block used zenye hali nzuri kwa matumizi

    Habari za uda huu ndugu zangu, nina shinda na pelving block kwaajili ya kuweka nyumbani kwangu, nahitaji used kwaajili ya kupooza makali ya gharama maana mpya bei ipo juu sana, kama nikipata zile ambazo kama zinawekwa kwenye barabara au viwandani nitashukuru sana eneo langu ni 270-SQURE METER...
  8. kikoozi

    JamiiForums Tanzania Nauza tofali used zipo idadi 200

    Nimesha ziuza zote. Tangazo lifungwe
  9. kikoozi

    JamiiForums Tanzania Nauza tofali used zipo idadi 200

    unacheka nini mkuu
  10. kikoozi

    JamiiForums Tanzania Nauza tofali used zipo idadi 200

    Asante sana kwa ushauri wako mkuu.
  11. kikoozi

    JamiiForums Tanzania Nauza tofali used zipo idadi 200

    Hapana mkuu, nauza tofali used.
  12. kikoozi

    JamiiForums Tanzania Nauza tofali used zipo idadi 200

    Karibuni wakuu
  13. kikoozi

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Computer Laptop HP PRO-BOOK 450 G4 inauzwa bei sawa na bure

    Inazungumzika
  14. kikoozi

    JamiiForums Tanzania Nauza tofali used zipo idadi 200

    acha tu kaka
Back
Top Bottom