Habari wana JF, najitokeza nikiwa serious kabisa, natafuta mchumba. Mimi ni mwanamke, hivyo natafuta mchumba wa kiume. Umri kuanzia miaka 35 mpaka 41. Natafuta mchumba mwenye umri huu kwani wengi walio kwenye umri huu wameshaanza kuwa na akili za kiutu uzima hivyo jamani naomba msinishambulie...