Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, ametangaza dhamira ya kulifikisha mahakamani suala la malalamiko yanayoendelea kutolewa na watumiaji wa huduma za intaneti kuhusu bando kuisha au kukatwa kabla ya muda wanaotarajia.
Hatua hiyo imekuja baada ya kusambaa kwa video ya Niffer akielezea changamoto...
Tangu tarehe 1 Aprili 2026, baada ya EWURA kutangaza kupanda kwa bei ya mafuta nchini, hali imekuwa ngumu kwa wananchi wengi, hasa wafanyakazi wanaotegemea usafiri wa umma kila siku.
Ni ukweli usiopingika kuwa bei ya mafuta imeongezeka. Hata hivyo, baadhi ya watoa huduma wa vyombo vya usafiri...
Stendi ya Mwenge ambayo inasimamiwa na Halmashauri ya Mansapaa ya Kinondoni ina mwaka mzima tangu ilipoanza kutumika, ambapo miundombinu mingi inayozunguka kituo hicho cha daladala imekamilika, ikiwemo fremu zilizojengwa kwenye jengo la ghorofa.
Katika hali ya kushangaza, ni takribani mwaka...
Pugu Majohe na Majohe yote ikiwemo kwa Ngozoma, Sondombwa, Halisi, Rada, Viwege, Bombambili na maneno ya jirani kuna changamoto ya kukatika umeme kila siku jioni kuanzia saa moja mpaka saa sita usiku.
Changamoto hii ilianza Mwezi Disemba 2025 na inaendelea hadi sasa, kuna muda unakatika mchana...
Tangu kurejeshwa kwa mfumo wa vyamavingi Mwaka 1992, Tanzania imejengwajuu ya msingi wa kikatiba unaotambuademokrasia, utawala wa sheria na heshimakwa haki za binadamu.
Katiba ya Jamhuri ya Muungano inawekawazi haki za msingi, ikiwemo uhuru wakukusanyika na kujiunga na vyama vyasiasa, uhuru wa...
Mashirika ya haki za binadamu nchini Tanzania, yakiwemo Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) na Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), yalikumbwa na changamoto za kiutendaji na kiusalama wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika...
Wakati risasi zilipolia mtaani wananchi walikimbia kuokoa maisha yao na maandamano yakikabiliwa na nguvu ya Dola, vyombo vya habari nchini Tanzania vilikaa kimya.
Kwa wananchi kama Ismail Issa, mkazi wa Dar es salaam huu haukuwa uzembe wa kawaida wa vyombo vya habari, bali ni usalitiwa wazi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.