CCM ikishindwa Ni bora kuongozwa na CUF sio CDM. CDM ni vibaraka wakubwa, wezi na watakuwa wasaliti wa nchi hii. Huwezi kukabidhi nchi kwa watu wanoonekana dhahiri watapoteza maslahi ya taifa. Watu wanaopanga kuweka rehani madini ili kupata pesa za kuendesha nchi, akili zao zimefilisika. Watauza...
Hujui mambo ya National Security and Politics ndo maana unasema Majeshi likae pembeni. Anayedhani Majeshi yakae pembeni kwenye politics anajidanganya. Haipo popote duniani. Majeshi ni sehemu ya politics za nchi husika. Tofauti ni kwamba hawagombei nafasi za kisiasa tu basi.
Hujui international systems zinafanyaje kazi ndo maana unakaa kusubiria eti macho ya mabeberu. Robert Mugabe pamoja na kutengwa na wazungu aliondolewa madarakani? Nchi ziache kushughulika na corona zije kupigania CDM. Mnaegemea mpapai!!!
Ukweli unauma ndo maana unatoka povu. Ukweli utabaki kuwa ukweli. Kama umechukia meza wembe. CDM mwaka huu sahau ushindi na mwaka 2025 sahau ushindi. Kwa sababu ya udhaifu wenu katika kupanga mikakati, itawagharimu kweli. Mtabaki kutukana tu. Hiyo ndo itabaki kuwa sera yenu kuu. Wenzenu...
CHADEMA inahitaji wataalamu wa stratejia ya siasa (Political Strategists) kuweza kuitoa CCM madarakani kwa urahisi. Vyama vikongwe na vyenye dola kama CCM vinahitaji kufanyiwa mkakati maalumu ambao hauhitaji nguvu. Kama ningepewa fursa ya kutoa ushauri wa kimkakati wa kuitoa CCM ningeshauri...
NDUGU YANGU HAKUNA MTU ANAMTAKIA LISSU KIFO. LISSU NI MTANZANIA KAMA WATANZANIA WENGINE. ANASTAHILI KUISHI NA KUTUNZA FAMILIA YAKE KAMA WATU WENGINE. LAKINI LISSU MWENYEWE ANATAKA NCHI ICHAFUKE, WATU WAUANE. HII NI AKILI TUSIYOITAKA. KAMA YEYE ANATAKIA HAYO WANANCHI, BASI NA YEYE AJUE WATU...
CHADEMA HAWAAMINIKI HATA KIDOGO. KWENYE UCHAGUZI WA 2015 WALIINGIA MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO NA VYAMA VINGINE VYA UKAWA, KUACHIANA MAJIMBO NA BAADAE KUGAWANA RUZUKU. LAKINI KILICHOTOKEA NI CHADEMA KUWAGEUKA KWA KILA KITU NA KUTIA MPIRA KWAPANI. HAWA NDO WAPEWE UONGOZI WA NCHI?
HAYO ULIYOYATAJA NI MAKUBWA MNO. CHADEMA MMESHINDWA KUJENGA HATA OFISI MOJA KWA MIAKA MITANO PAMOJA NA KUPATA RUZUKU YA MILIONI 336 KILA MWEZI. HATA KUPIGA RANGI OFISI YA MAKAO MAKUU DSM MMESHINDWA. PESA ZOTE AMEKURA MBOWE. HALAFU ETI TUWAKABIDHI NCHI. HAKUNA KITU KAMA HICHO. ENDELEA KUCHOMA...
KIONGOZI TUMESHAWAZOEA CHADEMA KWA UONGO WAO. HIYO ISIKUPE SHIDA. KUSEMA UONGO NI JADI YAO. KUBADILISHA MANENO NDO SALA YAO. WAKUBALI WASIKUBALI JPM ATASHINDA NA KUENDELEA KUONGOZA TAIFA.
HAWEZI KUPEWA NCHI MSALITI. KAMA CHADEMA HAIKUSHINDA 2015 BAS TENA. SAHAU KABISA MWAKA HUU NA MIAKA IJAYO. BAADA YA UCHAGUZI CHADEMA ITAKUWA IMEKUFA MAANA LISSU ANAIUA KWA KASI SANA. WATANZANIA WATAIKIMBIA CHADEMA. MBOWE ATAMFUKUZA LISSU.
HAKUNA CHOCHOTE KUTOKA KWA LISSU LABDA VURUGU TU. HATA YEYE ANAJUA HAWEZI KUSHINDA UCHAGUZI. HATA WEWE UKIMPIGIA KURA UNAHARIBU KURA YAKO TU SABABU NI UWAZI KWAMBA HAWEZI KUSHINDA.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.