Recent content by Kijijini Kwetu

  1. K

    JamiiForums Tanzania Majina ya Vijiji vya Wilaya ya Masasi ni 'Kiboko yao'

    Duu! jamaa alikuwa noma sana, alikua anauchambua mwili wa binadamu kama karaanga!! lakini nasikia kuwa kuna mtoto wake mmoja alikua nje kusoma na anafuata nyayo za baba yake, na mmoja yupo kwenye jopo la damu salama kanda ya kusini!!
  2. K

    JamiiForums Tanzania Nini tafsiri ya ndoto hii ?

    Labda jana yake ulikuwa na mawazo ya freemason, au uliwasikia watu wakizungumzia kuhusu imani hiyo haramu na potofu. Cha msingi potezea!! usipoteze mda kuwaza mambo yasiyo ya msingi.
Back
Top Bottom