Recent content by kijenge

  1. kijenge

    Mkuu wa Wilaya Arusha tuondolee hawa Wezi

    Sio mpka uibiwe ndio useme alioibiwa ni jamaa yangu wa karibu amefungua sehemu ya kurekodi hajamaliza hata wiki wamempora,na Amelipa hela ya sungusungu.Walivunja kwake na kwa jirani yake.
  2. kijenge

    Mkuu wa Wilaya Arusha tuondolee hawa Wezi

    Serikali ya mtaa Kijenge kusini inayoundwa na CCM imeanzisha sungu sungu na kuchukua hela ya ulinzi, Matokeo yake maduka manne yamevunjwa na watu wanakabwa na kuporwa simu na hela Wakati wa uongozi wa CHADEMA hapakuwa na sungu sungu na hakuna mtu aliye wahi ibiwa. Tunaomba mkuu wa Wilaya aje...
  3. kijenge

    Diwani Kata ya Kikombo na mwenyekiti wa CHADEMA Dodoma, Yona Kusaja ajivua vyeo vyote na kujiunga CCM

    Nchi imekuwa ya kipuuzi kila siku upuuzi tuu maendeleo ni ndoto nchi itakuwa mauchaguzi tuu.
  4. kijenge

    Ile sikendo ya kutapeli nyumba ya mjane mama Ana kahangi imedhihirika baada kuitwa kwa mkuu wa mkoa

    Maro anazeeka vibaya anamfuata bajuta huyu bajuta ni jambazi wa magari kwenye pembejeo ndio usiseme serikali imemsahau ikimshutia anamfilisi hadi ndala. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. kijenge

    Mkenya anamiliki migodi Tanzanite leseni 4 na maombi 7

    Inaelekea huyu anayetoa hizi habari anawafahamu kuliko wewe.Hivi vielelezo anavyotoa siajabu anapata kwao bila wao kujua na anakula nao anashinda nao watapata tabu sana.Kikulacha ki nguoni mwako.Mnapo comment ndio mnazidisha.
  6. kijenge

    Mkenya anamiliki migodi Tanzanite leseni 4 na maombi 7

    Mkuu umeongea sanaa mzee kachoka mbaya,unajua kuna mtu akijifanya anakutetea kumbe anataka mambo yako yawekwe azarani.
  7. kijenge

    Mkenya anamiliki migodi Tanzanite leseni 4 na maombi 7

    Huu mjadala malizeni mtoa maada na wajibu mada majuana vizuri sanaa kaeni chini muyamalize.
  8. kijenge

    Mkenya anamiliki migodi Tanzanite leseni 4 na maombi 7

    Mi sioni kama kuna kurushana kuna vyama vya wachimbaji kuna Tamida kuna mahakama bado mtu anakaa kunung'uninga nasehemu za kupata haki yako ipo kuna kitu nyuma ya pazia.
  9. kijenge

    Mkenya anamiliki migodi Tanzanite leseni 4 na maombi 7

    Kama wamerushwa madini yao kwanini hawakwenda mahakamani?na wakaonesha mrijesho wao wa mapato wa wizara ya madini?ili weweze pata haki haki yao?hawa wanaogomvi zaidi ya huu kurushana.
  10. kijenge

    Mkenya anamiliki migodi Tanzanite leseni 4 na maombi 7

    Hawa wameingia kitapeli sio wawekezaji.
  11. kijenge

    Mkenya anamiliki migodi Tanzanite leseni 4 na maombi 7

    LENGIO tuliza mpira kidogo inaonekana unajua mengi ya hawa wakenya sasa achai vyombo vya ulinzi na usalama ufanye kazi yao.
  12. kijenge

    Mkenya anamiliki migodi Tanzanite leseni 4 na maombi 7

    Hakuna mtu anatumwa JF uchunguzi ufanyike lisemwalo lipo,hakuna kinacho semwa kiwe uongo kabisa kutukuwa na kitu aidha kurushana.
  13. kijenge

    Mkenya anamiliki migodi Tanzanite leseni 4 na maombi 7

    Msio kuwa na akili ndio mnachekelea mali zetu zikiibiwa.Tuwe kama wakenya kwenye rasilimali zao ni kama nyuki hawakubali
  14. kijenge

    Je, Masha na Wenje wamepita bila kupingwa EALA?

    Cuf wananafasi moja Chadema 2 Ccm 6
  15. kijenge

    Je, Masha na Wenje wamepita bila kupingwa EALA?

    Cuf wananafasi moja.
Back
Top Bottom