Mohamed hayafai hta kidogo mwenyewe Kuna kipindi nilipanda naend bk kunguni waling'ata tulivyofika kagongwa nikataman kutelemka Bt nilikaza mpaka kahama ila nilivyoshuka tu nikaamua kwenda bar kunywa bia iliangalau nipate usingizi so km vp ukifika kahama kapige moja mbili tatu safari itakuwa...
Temeke mgao upo ck Nyingi sana Yaan kila Siku kwanzia saa moja jioni mbagala umeme unakatika unarudi saa tatu au nne usiku sis tushazoe mgao hakuna cha kubadirisha nguzo Wala nn
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.