Yeye bahati nzuri ni mzima na tulipata mtoto, uzuri mke wangu alikubali tatizo langu tuliishi vizuri tatizo lilikuja baada ya mama mkwe pamoja na ndugu zake kujua tatizo langu yani alitoka kwa shinikizo hasa la mama yake. Alitoka kwa mbinde yani.
Nashukuru kwa wote mlio nifariji kwa kiasi kikubwa na inaonyesha asilimia kubwa tuna uelewa juu ya gonjwa hili kwamba kama sio wewe basi anaweza akawa ndugu yako wa karibu anaweza kuwa muadhirika, achana na hao wanyanyapaa inaonyesha tatizo hawana elimu juu ya ugonjwa huu.
Mimi ninaishi na vvu nimetengana mke wangu baada ya kugundua kuwa mimi ni mwadhirika hali yangu ni mzuri huwezi kunitambua kwa macho na ninatumia arv kwahiyo natafuta mwenzangu anu PM awe katika hali nzuri.
Mimi ni mwadhirika nimeachana na mke wangu baada ya kugundua mm ni mgonjwa kwa hiyo natafuta mke wa kuishi naye awe mwadhirika kama mimi ila awe kwenye hali nzuri cd4 ziwe juu
(Sitanii)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.